Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 6, 2014

Kibuuka law Chambers yatoa msaada TAS 
Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Msembo akipokea msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya Albino Dar es Salaam jana kutoka kwa  kwa Mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya Sheria ya Kibuuka, Paul Kibuuka. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya TAS, Mohamed Chanzi.
 
  Paul Kibuuka (kulia) akizungumza na Uongozi wa TAS kabla ya kukabidhi msaada huo.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Msembo akipokea msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya Albino Dar es Salaam jana kutoka kwa  kwa Mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya Sheria ya Kibuuka, Paul Kibuuka. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya TAS, Mohamed Chanzi.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Msembo akipokea msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya Albino Dar es Salaam jana kutoka kwa  kwa Mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya Sheria ya Kibuuka, Paul Kibuuka. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya TAS, Mohamed Chanzi.
Viongozi wa TAS wakionesha mafuta maalum ya kujipaka na kujikinga na jua waliyopokea.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...