Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 6, 2014

KUTOKANA NA BARABARA KUWA MBAYA ENEO LA MANZESE KILWA YAPELEKEA MAGARI ZAIDI YA MIA YAKWAMA NA KUPELEKEA KIKOSI CHA TANZANIA MOVIE TALENTS KUCHELEWA KUWASILI MKOANI MTWARA


 Mabasi ya Tanzania Movie Talents yakiwa katika eneo la Manzese Kilwa wakati yakielekea mkoani Mtwara Kwaajili ya kuendelea na shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza kusimama kwa muda kwanza kutokana na hali ya barabara katika eneo kuwa mbaya na kusababisha magari zaidi ya mia kukwama kwa zaidi ya masaa saba
 Gari aina ya Harrier ilikiwa limekwama kabisa mwanzo mwa Eneo la Manzese
 Mabasi na malori yakiwa yamekwama kabisa kutokana na barabara kuwa mbovu
 Canter ikisukumwa kutokana na Kukwama kwenye tope zito katika eneo la Manzese Kilwa na kupelekea magari zaidi ya mia kukwama
 Vijana wa Tanzania Movie Talents Wakirekebisha gari lao ambalo lilipata hitilafu ya kupasuka kwa rejeta kutokana na barabara kuwa mbaya wakati wakijaribu kuvuka eneo lililokuwa kikwazo
Basi la Tanzania Movie Talents likijitahidi kuvuka katika moja ya Eneo bovu lililojaa maji na tope katika eneo la Manzese lililopo Kilwa na kupelekea gari hiyo kupasuka kwa rejeta na kuleta usumbufu kwa watumiaji wa gari hilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...