Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 13, 2014

MABONDIA SAID MBELWA NA KARAMA NYILAWILA WATAMBIANA KUPAMBANA MAY 24 MANZESE

Mabondia Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese katikati ni katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST Antony Rutta picha Rajabu Mhamila 
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese katikati ni katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST Antony Rutta picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Said Mbelwa na Karama Nyilawila wametambiana kila mmoja kuibuka mbabe katika mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Univers Boxing Oganaization UBO  mpambano utakaofanyika katika ukuimbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam

likiwa linasimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa nchini PST mpambano huo utakao onesha kuwa nani mbabe wa uzani wa kg 76 ubingwa wa UBO akizungumzia mpambano huo Katibu mkuu wa shilikisho la ngumi za kulipwa nchini Antony Rutta amesema kuwa mpambano huo unaosubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi nchini ukuiwa na mabondia wote wamecheza ngumi za kitaifa na kimataifa yani ndani na nje ya nchi

akitolea mfano bondia Said Mbelwa ndie bondia pekee ambaye anaenda nje ya nchi kucheza ngumi na kumaliza raundi zote 12 walizo pangiwa ingawa anapigwa kwa pointi ambapo mabondia wengi wa Tanzania wakienda nje wanapigwa K,O mbaya sana ambazo zinawatia mpaka itrafu katika baadhi ya maeneo

akimzungumzia Nyilawila ambaye alikuwa bingwa wa dunia wa uzani huo wa WBF ambaye alichukua mkanda huo nje ya nchi jambo ambalo kubwa sana duniani kumpiga mzungu nyumbani kwao si mchezo hivyo mabondia wote hawa wana sifa zinazo lingana

nae bondia Mbelwa aliongeza kwa kusema kuwa mimi nipo fiti hivyo mashabiki waje kwa wingi kuangalia ngumi ambazo zitahacha historia kubwa katika jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake kwa kipigo nitakachompa Karam

Nae bondia Nyilawila alitamba kwa kukimbiwa na Thomasi Mashali ambaye alikuwa acheze nae ata hivyo bondia huyo amepata ajali ya gari na zamu yake atacheza Mbelwa uchu wangu mkubwa ni Mashali huyu wamemuonea bule kunipa mimi nita hakikisha namchakaza bila huruma ata chembe

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile gem ya fransic Miyeyusho vs Mohamed Matumla 'Sneak jr'  mpambano ulivuta hisia za wapenzi wengi wa ngumi nchini 
Floyd Mayweathar,
Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...