Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) Mwakilishi wa Taasisi ya Else Kronner Fresenius Stiftung,
Prof. Konrad Mebmer (wa tatu kushoto) Mwenyekiti wa Mfuko wa Magonjwa ya
mfumo wa Chakula Munich nchini Ujerumani, Prof. Meinhard Classen
(kulia) na Balozi mdogo wa Ujerumani nchini Tanzania, Hans Koeppel, kwa
pamoja wakikata utepe kuashiria kufungua rasmi Jengo la Kituo cha Tiba,
Uchunguzi na Mafunzo ya Magonjwa na Saratani za Matumbo na Ini cha
Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa Hafla fupi ya ufunguzi huo
iliyofanyika Hospitalini hapo jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Prof. Leonard Lema (wa pili kulia)
kuhusu Mashine ya kuchunguza mfumo wa Hewa na Chakula, wakati Makamu
alipokuwa akitembelea jengo jipya la Kituo cha Tiba, Uchunguzi na
Mafunzo ya Magonjwa na Saratani za Matumbo na Ini cha Hospitali ya Taifa
Muhimbili na kujionea mashine hizo, leo Mei 30, 2014. (wa pili kushoto)
ni Mtaalam wa mfumo wa chakula, Edwaldo Komba.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Rwegasha John, kuhusu Mashine ya
kuchunguza mfumo wa Hewa na Chakula, inavyoweza kufanya kazi ya kugundua
uvimbe ulio tumboni kwa mgonjwa, wakati Makamu alipokuwa akitembelea
jengo jipya la la Kituo cha Tiba, Uchunguzi na Mafunzo ya Magonjwa na
Saratani za Matumbo na Ini cha Hospitali ya Taifa Muhimbili na kujionea
mashine hizo, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Kituo cha
Tiba, Uchunguzi na Mafunzo ya Magonjwa na Saratani za Matumbo na Ini cha
Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa Hafla fupi ya ufunguzi huo
iliyofanyika Hospitalini hapo jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili wakimsikiliza Makamu wa Rais
Dkt. Bilal, alipokuwa akiwahutubia baada ya kufungua rasmi jingo hilo.

Maskamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi mmoja kati ya washiriki waliosaidia ujenzi wa jengo
jipya la Kituo cha Tiba, Uchunguzi na Mafunzo ya Magonjwa na Saratani za
Matumbo na Ini cha Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mwakilishi wa Taasisi
ya Else Kronner Fresenius Stiftung, Prof. Konrad Mebmer, baada ya
ufunguzi huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali
hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wahisani.
No comments:
Post a Comment