Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 5, 2014

JK AFUNGUA MKUTANO WA MAJAJI WANAWAKE


 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete.
Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji  wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano mjini Arusha(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...