Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 10, 2014

NASSIBU RAMADHANI,SAID MUHIDIN,JUMA FUNDI, BAINA MAZOLA WAPIMA UZITO KUZIDUNDA KESHO MABIBO MWISHO


Bondia Nassibu Ramadhani kushoto akitunishiana misuli na Said Muhidini baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumapili ya may 11 katika ukumbi wa D.I.I Hall mabibo mwisho katikati ni mratibu wa mpambano huo Bahiyo Mkumbi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Juma Fundi kushoto akitunishiana misuli na Baina Mazola baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumapili ya may 11 katika ukumbi wa D.I.I Hall mabibo mwisho katikati ni mratibu wa mpambano huo Bahiyo Mkumbi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Said Muhidini akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Nassibu Ramadhani kushoto
Bondia Baina Mazola akipima Uzito

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...