Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 16, 2014

MAONYESHO YA BIASHARA YA UTURUKI YAFANA


 Baadhi ya watu mbalimbali wakimsikiliza Radhia Ramadhani akiwaonyesha wananchi waliofika katika banda la kenton jinsi ya utengenezaji wa chapati zinazotengenezwa kwa kutumia maziwa ya ngombe pamoja chokoleti ambazo ni rahisi na za kisasa  hazitumii unga wa ngano hii ni wakati wa maonyesho ya biashara ya watu wa uturuki ambayo yanaendelea kati viwanja vya Diamondi jijini Dar es salaal  
Baadhi ya watu mbalimbali wakimsikiliza Radhia Ramadhani akitoa somo juu ya utengenezaji wa chapati kwa kutumuia gharama kidogo utengenezaji wa chapati zinazotumia maziwa na chokoleti hazitumii unga wa ngano radhia yuko kwenye banda la kenton liliopo katika maonyesho ya biashara ya watu wa uturuki yanayofanyika katika viwanja vya Diamond jijini Dar es salaam ambayo yatafungwa siku ya jumapili

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...