Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 13, 2014

TWANGA PEPETA WALIVYOWAPAGAWISHA WAZENJI GOLF CLUB ZANZIBAR JANA


 Wanamuziki wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika kwenye ukumbi wa Golf Club, mjini Zanzibar jana usiku. Onyesho hilo ni sehemu ya maandalizi ya sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Mapinduzi ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yatakatoashimishwa kesho katika Uwanja wa Amani, mjini Zanzibar.
 Kalala Junior, akiwachezesha mashabiki wa bendi hiyo.....
 Mashabiki wa bendi ya Twanga Pepeta, wakisebeneka na miondoko ya bendi hiyo wakati wa onyesho lililofanyika ukumbi wa Golf Club.
 Mwimbaji wa bendi hiyo, Luiza Mbutu, akiwa sambamba na wanenguaji wake wa kike wakishambulia jukwaa kwa pamoja.
Mashabiki wakisebeneka.....hapo kati...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...