Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 19, 2014

MPAMBANO WA MASUMBWI WAFANYIKA KILUVYA UKU MSAGA SUMU NA KANGA MOJA WAKITOA BURUDANI


Mabondia Robinson Msimbe kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ayubu Ula wakati wa mpambano wao uliofanyika Kiluvya madukani katika ukumbi wa Shimbikati Ula alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Msanii wa mziki wa radha Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika ukumbi wa shimbikati kiluvya maduka mawili kabla ya mpambano wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi huo jana
 MABONDIA WAKIONESHABA UBABE WAKATI WA MPAMBANO ULIOFANYIKA KLUVYA MADUKANI KATIKA UKUMBI WA SHIMBIKATI PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com
Msanii wa mziki wa radha Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika ukumbi wa shimbikati kiluvya maduka mawili kabla ya mpambano wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi huo jana kulia ni mmoja ya nmashabiki wake

Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake

Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake kama anavyo onekana katika picha

SHABIKI AKIMTUNZA MNERNGUAJI WA KANGA MOJA

MNENGUAJI WA KUNDI LA KANGA MOJA AKICHEZA KWA STAIL YA KIPEKEE BAADA YA KUAMUA KUCHEZA NA CHUPA

KANGA MOJA WAKIFANYA VITU VYAO

MASHABIKI WAKIMSHANGILIA BONDIA WAO ALIYESHINDA
KAZI YA KANGA MOJA IKIENDELEA KULINDIMA KATIKA UKUMBI WA SHIMBI KATI KABLA MPAMBANO WA MASUMBWI

KIKAZI ZAIDI KANGA MOJA
MPAMBANO WA MASUMBWI UKIENDELEA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...