Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 22, 2014

MWENYEKITI WA CCM KATA YA JANGWANI MOHAMED BAWAZIR AGAWA JEZI UHURU NA MZALENDO


Kiongozi mzuri ni yule anayejitoa kwa watu wake..Leo hii nikiwa Mwenyekiti wa Ccm kata ya Jangwani nimekabidhi vifaa vya Michezo kwa Uongozi wa Timu ya Uhuru na Mzalendo ambayo inajiandaa na Mashindano ya Nssf Cup.Vile vile wiki hii nitakabidhi Vifaa vya Michezo kwa Timu 6 zilizopo ktk Kata yangu,hii yote ni ktk kutekeleza Ilani ya Chama changu (ukisema najipanga juu yako) KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...