Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 19, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AKAMRIBISHA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR

Rais Jakaya kikwete akimkaribisha  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.leo(picha na Salmin Said, OMKR)

Rais Jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, mara baada ya kukutana kwa pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.leo(picha na Salmin Said, OMKR)

Rais Jakaya kikwete akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, mara baada ya kukutana kwa pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.leo(picha na Salmin Said, OMKR)

Rais Jakaya kikwete akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, mara baada ya kukutana kwa pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.leo(picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...