Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, January 24, 2014

UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR ULIVYO TIKISA ZANZIBAR


Wananchi na Wanachama wa CCM Zanzibar wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua  akihutubia kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika  katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki
Wananchi na Wanachama wa CCM Zanzibar wakijiachia  wakati mzee  Yusuph akiburudisha 
Mfalme wa Taarab Mzee Yusssuf na Mgombea Uwakilishi jimbo la KiembeSamaki CCM Mahamoud Thabit kombo wakitoa burudani kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi Jimbo katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  akihutubia wananchi na wanachama wa CCM kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi na wanachama wa CCM kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtambulisha mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki CCM Mahamoud Thabit Kombo kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo  katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...