Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 21, 2014

BONDIA WA UZITO WA JUU IDDI BONGE AJIANDAA KUMKABILI MWAKASANGA MARCH 23Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese mazoezi hayo  katika klabu ya biafra iliyopo kigogo mburahati Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kulia akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese mazoezi hayo 
 katika klabu ya biafra iliyopo kigogo mbulahati Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...