Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 15, 2014

Mh. Lowassa akutana na uongozi wa bodaboda mkoa wa Dar

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam,waliomtembelea ofisini kwake leo.Mh. Lowassa alikutana na viongozi hao kupanga utaratibu wa kufanya harambee ya kuchangia saccos ya shirikisho hilo.Mwezi Disemba mwaka jana,Mh Lowassa alikuwa mgeni rasmi katika tamasha la bodaboda kwenye viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam ambapo aliahidi kukutana na uongozi huo kwa ajili ya kuandaa harambee ya kuwasaidia kumiliki pikipiki waendesha bodaboda wa Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...