Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 4, 2012

NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA UMOJA WA MATAIFA


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni. [Picha naRamadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni. [Picha naRamadhan Othman Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni. [Picha naRamadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni. [Picha naRamadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...