Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 4, 2012

TBL YAPATA TUZO YA MWANACHAMA MSHIRIKI WA TPSF


Mwenyekiti wa Taasisi ya African Life Alliance, Dk. Ibrahim Kaduma (kulia), akimkabidhi Meneja Mawasiliano na Habari wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi , tuzo maalumu ya kuitambua TBL kuwa mwanachama mshiriki (Corparate Member) wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania, katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam juzi.
Editha Mushi (kulia) akiwa miongoni mwa washiriki katika hafla hiyo iliyopfanyika Serena Hoteli na kuratibiwa na Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania.
Editha Mushi (wa nne kushoto mstari wa nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TPSF baada ya hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...