Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, February 1, 2014

KITWE YAWAKUTANISHA WADAU WA MASUMBWI KATIKA MKUTANO LEO VIJANA KINONDONI


Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akifatilia kwa makini mkutano wa Mabondia,mapromota na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi kulia ni bondia Sadiki Momba na Fabian Limo na mdau Maga kutoka Tegeta

Bondia Fransic Cheka akifatilia mkutano huo uliokuwa umewakutanisha makocha mabondia mapromota na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi nchini

Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu anae ongea ni Yasin Abdallah  kushoto ni Habibu Kinyogoli anaefati ni mwakilishi wa BMT  Richard Mganga Rais wa IBF Afrika Onesmo Ngoi na Lucas Retwainura

WADAU WALIOJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASUMBWI

Baadhi ya Mabondia wakifatilia mkutano huo wa kwanza baada ya miaka 15

Kocha Mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli akitoa moja ya mada zilizotakiwa kuongelewa kuhusiana na mchezo wa ngumi nchini picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akiwa na bondia FRansic Cheka na Promota Lucas Rwetainurwa wakati wa mkutano huo wa kujadili mambo mbalimbali yanayousu mchezo wa ngumi


Mdau wa mchezo wa ngumi ambaye pia ni Promota wa mchezo huo Mohamed Bawazir akizungumza wakati wa mkutano huo wa wadau wa masumbwi,mapromoto na mabondia

Kanal Mstaafu Iddi Kipingu akizungumza wakati wa mkutano wa mabondia,mapromota na wadau mbalimbali wa ngumi za kulipwa nchini kushoto ni promota Mohamed Bawazir na kulia ni Ofisa Michezo kutoka Baraza la michezo la Taifa BMT, Richard Maganga  picha na www.suprdboxingcoach.blogspot.com

WADAU WA MCHEZO WA NGUMI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI kANALI MSTAAFU IDDI KIPINGU  BAADA YA KUMALIZA MKUTANO HUO PICHA NA WWW.SUPERDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...