Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 25, 2012

FILAMU YA NDOA YANGU AMBAYO ITAKUWA NA KINGA 10 KUZIBITI MAALAMIA WA FILAMU KUINGIA SOKONI IJUMAA
MSANII Nguli wa Filamu za kitanzania Stevin Kanumba ambaye kwa sasa ni Marehemu ametoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Ndoa Yangu  itakayokuwa ikisambazwa  na Kampuni ya Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam kwa kushilikiana na kampuni ya Kanumba the Great Filams ya jijini


Akizungumzia filamu hiyo mmoja wa washiriki Jacklen Wolper amesema filamu hiyo inayosubiliawa kwa hamu na watu wengi pamoja na wapenzi mbalimbali itatoka wiki hii kwa ajili ya kuangaliwa na watu mbalimbali filamu hiyo iliyokuwa itolewe mda mrefu kwa sababu ya kifo chake ikawa imesitishwa na sasa ipo tiyali kutoka wakati wowote kuanzia sasa


Filamu hiyo itakayokuwa katika pack mpya itakayokuwa inapatikana DVD mbili kwa pamoja katika pack hiyo iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na kuepuka uchakachuaji wa maaramia wa filamu itakayokuwa na kinga kumi za kutambua kuwa ni oringinal kwa ajili ya kuepuka wachakachuaji wapenzi wameshauliwa kununua filamu oringino kwa ajili ya kuwaendereza wasanii kiuchumi akikisha utapata filamu yako mpya ya Ndoa yangu itakayokuwa inauzwa kwa DVD mbili kwa pamoja


Tofauti na mwanzo na hii itakuwa ni filamu ya kwanza itakayotoka kwa mwonekano mpya tofauti na tulivyozoea zamani kwa sasa zitakuwa mbili kwa pamoja tofauti na mwanzo na ndio itakuwa mwendelezo wa filamu zote za Kampuni ya Steps zitakuwa zikitoka kwa mtindo huo kuanzia sasa ili kukwepa mafisadi wa filamu za kibongo Filamu hiyo inayosubiliwa kwa hamu na wapenzi wa fuilamu nchini kwa kuwa ni ya mwisho kwa marehemyu mpendwa wetu Stevin Kanumba aliyowashilikisha msanii Pacho mwamba na wengine wengine


Filamu hiyo itakuwa na alama kuu kumi kwa ajili ya kuitambua vizuri kwanza itakuwa kwenye pack iliyoandikwa bongo move na itakuwa inajulisha filamu mpya zinazokuja na zilizopo sokoni katika kasha hilo ,kibandiko cha Duara Stika ya kumeremeta tarakimu za usalama,nembo ya steps ya rangi ya Dhaabu,mkato maalumu,mwinuko wa maandishi mfuko wa plastiki wenye nembo ya steps

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...