Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 26, 2012

NMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA BIBI BOMBA


 Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo (kulia) akizungumza katika hafla ya kiukabidhi zawadi kwa washindi wa Bibi Bomba.
 Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa (katikati) akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Bibi Bomba. Kulia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
 Washindi wa Bibi Bomba, Kutoka kushoto ni Mshindi wa kwanza, Veronica Mpandala Matia kutoka Mikocheni jijini Dar es Salaam, Anna Said mkazi wa Mikocheni na Nasra Mohamed Abdullah mkazi wa mjini Zanzibar
 Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa (kulia) akibidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni moja mshindi wa tatu wa shindao la Bibi Bomba, Nasra Mohamed Abdullah kutoka Zanzibar katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati anayeshuhudia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
 Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa (kulia) akimbidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni tatu mshindi wa pili wa shindano la Bibi Bomba, Anna Said mkazi wa Mikocheni A katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katikati anayeshuhudia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa (kulia) akimbidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni tano mshindi wa kwanza wa shindano la Bibi Bomba, Veronica Mpandala Matia mkazi wa Mikocheni A katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katikati anayeshuhudia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.Washindi wa Bibi Bomba wakiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa NMB na Clouds tv baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika kwenye ofisi za Clouds Media.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...