Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 22, 2012

HATIMAE WAISILAMU WATANZANIA WAUNGANA NA WENZAO DUNIANI KOTE KULAANI FILAMU YA KUMKASHIFU MTUME MOHAMMAD (SAW).


Waisilamu waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya Kidongo chekundu leo wakionyesha ujumbe unaozilaani nchi za Marekani na Israel, ikiwa ni sehemu ya kuonyesha hisia zao dhidi ya filamu iliyotengenezwa nchini Marekani ikimkashifu mtume Mohammadi (saw).
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiisilamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda akisoma Tamko la waisilamu kwenye mkutano huo uliofanyika leo kwenye viwanja vya Kidongochekundu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...