Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 27, 2012

SHY-ROSE BHANJI APITISHWA NA NEC - CCM KUWANIA NAFASI 10 ZA TANZANIA BARAMbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Shy-Rose Bhanji amefanikiwa kuwa mmoja wa wagombea 10 waliopitishwa kati ya 31 na Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM-NEC kugombea Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM NEC Tanzania bara. Katika kinyang'anyiro hicho Mh. Shy-Rose Bhanji anapambana na baadhi ya mawaziri na viongozi wa juu wa chama hicho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...