Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 30, 2012

YANGA YAMSAINISHA MKATABA WA MWAKA MMOJA KOCHA MPYA WA APR ERNSTUS BRANDA LEOKocha mpya wa Yanga, Ernstus Brands, akisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuiona klabu hiyo, kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga, akimpa maelekezo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo katika Klabu hiyo. Kabla ya kujiunga na Yanga, kocha huyo alikuwa akiifundisha APR ya Rwanda. 
 Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga, pamoja na kocha mpya wa Yanga wakisikiliza maswali kutokwa kwa waansishi wa habari ambao walihudhuria tukio la Yanga kumtambulisha kocha huyo mpya ambaye atarithi mikoba ya Mbelgiji, Tom Saintfiet, ambaye alitimuliwa hivi karibuni.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla hiyo lililofanyika asubuhi ya leo makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwani na Twiga. Picha zote kwa hisani ya Bin Zueiry Blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...