Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 19, 2012

MAANDAMANO KUTOKA MISIKITI MBALIMBA JIJINI DAR SIKU YA IJUMAA KULAANI FILAMU YA MAREKANI ILIYO KASHIFU MTUME.


 Amiri wa Shura ya maimamu Tanzania Shekh Mussa Kundecha (kulia) akiwa masheikh wa Taasisi ya Umoja wa Wanazuoni wa Kiisilam Tanzania wakati wa kutangaza hatua za kuchukua kwa Waisilamu wa Tanzania dhidi ya Filamu iliyotengenezwa nchini Marekani na kumkashifu Mtume Mohamad (SAW). Kwenye mkutano huo msimao uliotangazwa ni wakufanyika mkutano mkubwa Jangwani jijini Dar es Salaam ambapo waisilamu wote watakusanyika hapo kulaani Filamu hiyo.
 Waisilamu waliohudhuria mkutano huo kwenye msikiti wa Kichangani jijini Dar es Salaam wakati wa Sala ya Ala -asiri leo, wakifuatilia kwa makini matamko na mawaidha ya masheikh mbalimbali.
TUNAFUATILIA HATUA KWA HATUA!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...