Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 25, 2012

TIGO MAMA AFRIKA SARAKASI KUANZA WIKI HII


 
 Mkurugenzi wa Mancom Center Costantine Magavilla akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuanza kwa maonesho ya Tigo Sarakasi Mama Afrika  yatakayofanyika kwenye kituo Cha Sanaa Cha Mwalimu Nyerere (New World Cinema) Mwenge jijini Dar es Salaam, kulia ni Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo Gaudence Mushi na Afisa habari wa Tigo Alice Maro
Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo Gaudence Mushi (kushoto) akimpa mkono mbunifu wa sanamu Issack Shaa wakati wa maonesho ya baadhi ya vifaa vitakavyotumika kwenye maonyesho hayo, wengine ni Mkurugenzi wa Mancom Costantine Magavilla na Afisa habari wa Tigo Alice Maro.
Msanii Issack Shaa, aliyebuni sanamu la plastiki ambalo hilivaa nakuonekana kama mamba anaetembea akionyesha mfano wa mamba anavyotembea mbele ya waandishi wa habari wakati wakitangaza kuanza kwa maonyesho hayo.
Mamba akitembea.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...