Mkurugenzi wa Steps Solar Dilesh Solanki kushoto pamoja na wasanii wa filamu ambao ni mabalozi wa Steps Solar ,Salma Jabu 'Nisha' na Amri Athumani 'Mzee Majuto' wakiomkabidhi zawadi ya solar kwa ajili ya kutumia nyumbani Mbunge wa jimbo la Kigamboni, DR, Faustine Ndugulile wakati wa tafrija ya uzindudhi wa bidhaa hizo zilizofanyika mji mwema kigamboni Dar es salaam Picha na www.burudan.blogspot.com |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Steps Solar Jairaj wa pili kulia akimuonesha Mbunge wa jimbo la Kigamboni, DR, Faustine Ndugulile
wakati wa tafrija ya uzindudhi wa bidhaa hizo zilizofanyika mji mwema
kigamboni Dar es salaam katikati ni
Mkurugenzi wa Steps Solar Dilesh Solanki
Picha na www.burudan.blogspot.com
Mkurugenzi wa Steps Solar Dilesh Solanki
Picha na www.burudan.blogspot.com
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Steps Solar Jairaj kulia akimuonesha Mbunge wa jimbo la Kigamboni, DR, Faustine Ndugulile pasi jinsi ilivyopata moto
wakati wa tafrija ya uzindudhi wa bidhaa hizo zilizofanyika mji mwema
kigamboni Dar es salaam katikati ni
Mkurugenzi wa Steps Solar Dilesh Solanki na Ofisa wa kampuni hiyo Moses Mwanyilu
Picha na www.burudan.blogspot.com
Mkurugenzi wa Steps Solar Dilesh Solanki na Ofisa wa kampuni hiyo Moses Mwanyilu
Picha na www.burudan.blogspot.com
Ofisa wa kampuni ya Steps Solar Moses Mwanyilu akimwelekeza
Mbunge wa jimbo la Kigamboni, DR, Faustine Ndugulile wa pili kushoto jinsi wa umeme unavyopatikana kupitia mashine ndogo ya kuifadhia umeme wa jua kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Steps Solar Jairaj
katikati ni
Mkurugenzi wa Steps Solar Dilesh Solanki na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya temeke Sikunjema Shabani