Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 17, 2014

CHICHI MAWE AJIFUA KUMKABILI MTHAILAND APRIL 19 NA MOHAMED MATUMLA MEI 10 PTA SABASABA


 Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akipambana na bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand April 19 na Mohamed Matumla Mei 10 mipambano yote itafanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe'  kulia akipangua konde la Gulamu Kassim
wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi ya lazuima ukae GYM iliyopo Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand April 19 na Mohamed Matumla Mei 10 mipambano yote itafanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akimwelekeza bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand April 19 na Mohamed Matumla Mei 10 mipambano yote itafanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...