Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 27, 2014

RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MSTAAFU WA NAMIBIA MHE. SAM NUJOMA,IKULU JIJINI DAR LEO


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu
na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27,
2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria
sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam  Nujoma Ikulu jijini Dar es salaam aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za  miaka 50 ya Uhuru jana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...