Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 10, 2014

BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH AWASILI JIJINI KUMKABILI MIYEYUSHO

 BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH
BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH KUSHOTO AKIPOKEWA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE LEO KATIKATI NI KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' NA AGAPETER MNAZALETIBONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH
BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH KUSHOTO AKIPOKEWA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE LEO KATIKATI NI KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' NA AGAPETER MNAZALETI
Bondia kutoka Thailand Skkasem Kokietyongyuth kushoto na kocha wake Panyapari Ehot mwingine ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wakiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Miyeyusho litakalofanyika P.T.A Sabasaba April 12 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia kutoka Thailand Skkasem Kokietyongyuth katikati akiwasili  katika uwanja wa ndege wa kimatafa wa julius nyerere nchini kwa ajili ya mpambano wake leo April 12 na Fransic Miyeyusho litakalofanyika P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam kushoto ni kocha wake Panyapari Ehot na kulia ni Promota wa mpambano huo Mussa Kova Picha na Rajabu Mhamila
BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH AKIWASILI NCHINI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA aPRIL 12 KATIKA UKUMBI WA PTA SABASABA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...