Mke
wa Rais, Mama Salma Kikwete (katikati) akicheza segere wakati wa
sherehe iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi
(UWT-CCM), kumkaribisha na kumpongeza Dk. Asha Rose Migiro (kushoto) kwa
kuwa mwamamke wa kwanza Afrika kushika wadhifa huo, leo kwenye viwanja
vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Spika wa Bunge, Anne Makinda na Mama Maria Nyerere wakiangalia wanawake wakiserebuka muziki wakati wa shere hiyo.
Mama Slma Kikwete akihutubia katika sherehe hiyo
Wanawake wa CCM wakicheza na kufurahi
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha -Rose Migiro (aliyevaa miwani kushoto) akijumuika kucheza segere wakati wa sherehe iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT-CCM), kumkaribisha na kumpongeza kwa kuwa mwamamke wa kwanza Afrika kushika wadhifa huo, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Mama Migiro akiwapungia wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya akina mama wakicheza na kufurahi huku wakiwa na mabango ya kumpongeza Migiro

No comments:
Post a Comment