Team Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga vita maradhi ya Saratani ya maziwa. (Picha maelezo na swahilivilla.blogspot.com)
Team Tanzania iliochangamsha katika matembezi ya 2012 Susan G. Komen Global Race for Care
Mamia
ya wananchi kutoka majimbo mbali mbali nchini Marekani wakiwemo Team
Tanzania waliojitokeza kwa wingi kwenye matembezi na mbio za 2012 Susan
G. Komen Global Race for Care ya kumaliza vita dhidi ya maradhi ya
Saratani ya Maziwa hapa jijini Washington DC Nchini Marekani.
Ni
mfano mzuri wa kuikwa nchini Tanzania kama kujali na kuwapa moyo kina
mama walioathirika na saratani ya maziwa kwani pia wanahitaji
kutaminiwa, kutoa elimu ya kujikinga pamoja na wale walioathirika na
ugonjwa huo, ili kupata changamoto za kwenda kupima kila mwenzi, kwani
ni ugonjwa hatari unao waumiza sana kina Mama wa Mijini na Vijijini
huko nyumbani.
Tungeliomba
makampuni makubwa kufikiria zaidi na kuwasiliana na kiongozi mzima wa
Team Tanzania ambao wanauzowefu mkubwa katika Susan G. Komen Global Race
for Care, wanaweza kukupeni mawazo zaidi juu ya kutoa msaada huo kwa
kina mama walioathirika, wale familia zao tayari wameshakubwa na ugonjwa
huo wa Saratani ya Maziwa.
Ili kutoa mifano kwa wengine ambao bado wanahitaji mafundisho ya kujikinga na ungojwa huo, kwa mwendo huo wa mkosanyiko wa watu ambao utaleta muamko mkubwa na elimu kwa waTanzania wote, na kujisikia tupo katika muamko flani dhidi ya kutokomeza ugonjwa huu hatari unao wakumba kina Mama wote Duniani.
Vile vile Team Tanzania imetoa shukurani kwa waTanzania wote walioshiriki katika matembezi ya "Susan G. Komen Global Race for the Cure", pamoja na wale ambao hawakuweza kushirikiana nao kwa michango yao mbali mbali katika kufanikisha shughuli hii.
Pia
walitoa shukurani kubwa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani kwa
ushirikiano wao uliotoa kuweza kufanikisha shughuli hiyo, pia kutoa
shukurani kwa vyombo vya mawasiliano katika Jumuia ya Watanzania kwa
mchango wao mikubwa wa kutawanya habari hizo.Ili kutoa mifano kwa wengine ambao bado wanahitaji mafundisho ya kujikinga na ungojwa huo, kwa mwendo huo wa mkosanyiko wa watu ambao utaleta muamko mkubwa na elimu kwa waTanzania wote, na kujisikia tupo katika muamko flani dhidi ya kutokomeza ugonjwa huu hatari unao wakumba kina Mama wote Duniani.
Vile vile Team Tanzania imetoa shukurani kwa waTanzania wote walioshiriki katika matembezi ya "Susan G. Komen Global Race for the Cure", pamoja na wale ambao hawakuweza kushirikiana nao kwa michango yao mbali mbali katika kufanikisha shughuli hii.
Ni wajibu wetu kufikisha habari hizi nyumbani ili iwe kama zawadi ya mafundisho ya kile tulichokichuma ugenini kukileta nyumbani, ili waathirika wa ugonjwa huu hatari tuweze kuutokomeza kwa hali na mali, kuwa kitu kimoja kama waTanzania tunaojali na kuthamini nchi yetu, kwani kitaifa tunaweza
No comments:
Post a Comment