Super D Super coach Rajabu Mhamila (wa pili kushoto) na kikosi chake cha mkoa wa Ilala
KOCHA
wa timu ya Ashanti na timu ya Mkoa wa ILala Kimichezo Rajabu Mhamila
'Super D' (pichani) amesikitishwa na kitendo cha mashindano ya taifa
kutokuwa ata na mzamini mmoja ambapo mashindano hayo ndio dira ya
maendeleo ya mchezo huo hapa Tanzania.
Akizungumza
kwa uchungu wakati wa mashindano hayo yanayoshilikisha mikoa 18
iliyoanza siku ya jumatat amesema nasikitika sana mikoa karibia yote ya
Tanzania bara hipo hapa inashiriki mashindano haya ya Taifa inakosa ata
mzamini ambapo katika mkusanyiko huu watu wengi wanaweza kujitangaza
karibia mikoa yote nchini kupitia mchezo huu.
Wadhamini
wamekuwa wakigombania dhamini mchezo mmoja tu wa mpira wa miguu na
kugombana kufaa jezi za mpinzani na mwingine kumwambia asivae jezi hizo
lakini mbali na kupelekewa barua katika makampuni mbalimbali ya kuzamini
mashindano makubwa ya mchezo huo mchini barua hizo zimekuwa zikiwekwa
kapuni na kama Ufadhili basi upatikana mdogo ambao sio wa kutarajia
nasikitika mpaka sasa mashindano yapoendelea akuna ata zawadi za mshindi
ukiangalia mabondia wengi kutoka mikoani wamekuja kwa galama zao kwa
kila kitu ikiwemo usafili maradhi na kazalika na kama timu hizo
zikishinda awana kitu chochote cha kumbukumbu ya kuludi nayo mikoani
mwao kwa ajili ya kuwaonesha wenzao waliokuwa wakiwaombea duwa kuwa mkoa
wao ushindeInasikitisha
sana nchi yenye lasilimali ya watu wengi wanashindwa kusaidia mchezo wa
ngumi tena wa taifa bali wamekuwa wakitoa sapoti katika mambo mengine
ambayo ayana ata mwelekeo ikiwemo michezo kazaa ambayo aina ata vyama
ikiwemo mbio za Mbwa za mbuzi na kazalika michezo hiyo aina ata vyama
inavyo visimamia lakini BFT walipepeka maombi mbalimbali ya kuwa kuna
mashindano ya ngumi ya taifa makampuni yapatayo 30 na kukosa ufadhili wa
aina yoyote ata maji ya kunywa akuna ambapo vijana wapandapo ulingoni
utumia maji kila mwisho wa raundi.
Katibu
Mkuu wa BFT Makore mashaga ambaye alijitolea kufatilia ufadhili katika
makampuni 30 mbalimbali na kukosa ufadhili wa aina yoyote ile na
kusababisha mashindano hayo kuendeshwa kwa ugumu.
Super
D ambaye ni kocha wa timu ya mkoa wa kimichezo Ilala pamoja na viongozi
wenzie wa mkoa uho wamekuwa wakiangaika uku na kule kutafuta ufadhili
yapo mdogo kwa mabondia ukiwemo wa nauli za kujikimu kwa mabondia wa
mkoa huo ambao unawakilishwa na mabondia watano wanaoishi sehemu
mbalimbali za jiji la Dar es salaam na kukosa ufadhili-- Super D Boxing Coach
No comments:
Post a Comment