Filamu Mpya Ya My Man Sehemu ya 2
inatarajiwa kuingia Sokoni muda si mrefu kutokana na kumalizika kwa kazi
nzima ya utengenezaji wake.
Filamu hii ya kitanzania ambayo story
yake imeandikwa na Kijana Geric Kimaro anayesomea Shahada ya Kwanza ya
Filamu katika Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akiwa mwanafunzi wa Mwaka wa 2
Chuo Hapo.
Akiongea na Mtandao wa LUKAZA BLOG
amesema " Mashabiki wa filamu za kitanzania wakae Mkao wa Kula
kwasababu kwanza hawataboreka kutokana na waigizaji wake ni Vijana
wanaosomea fani ya Filamu katika ngazi ya Shahada ya Kwanza ambao wana
vipaji na ujuzi pia katika tasnia ya filamu nchini lakini pia Katika
filamu hiyo ambayo imetengenezwa na kampuni ya BORNAGAIN na
kumshirikisha Nguli wa filamu za Bongo Mwenye Swaga za Uchungaji, Pastor
Myamba."
Mbali na Kumshirikisha Pastor Myamba amesema kuwa katika filamu hiyo kuna sura mpya nyingi ambazo ni vipaji na zao kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) ambapo wengi wao ni wanafunzi wanaosomea Shahada ya Kwanza ya Filamu,Na amefanya hivi kuonyesha na Kutambulisha vipaji ambavyo badi vipo Shuleni.
Alimalizia kwa Kusema kuwa Filamu hii sio ya Kukosa kwasababu humo ndani ni kuna vitu vipya ambavyo havijawahi kuonekana katika filamu za bongo, Kwahiyo Usikose nakala Yako

No comments:
Post a Comment