Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 7, 2013

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Wamjulia hali Mwenyekiti wa UDP Mh. John Momose Cheyo alielazwa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam


 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo.Picha Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...