Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 6, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri kilichofanyika ikulu jijini Da es Salaam leo.Wapili Kulia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal na watu kulia ni Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...