Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, March 5, 2014

LG YAZINDUA JOKOFU LENYE KUTUNZA BARIDI KWA MUDA MREFU

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania BW. Mayur Parikh wa pili kushoto na meneja masoko wa kanda wa kampuni hiyo BW, Shakti Vellu wakizindua Jokovu lenye kutunza baridi la kampuni ya LG picha na www.burudan.blogspot.com

Ofisa masoko wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania ambao ni wakala wa huuzaji wa bidhaa za LG BI, Grece Kavishe akitoa maelekezo jinsi jokofu hilo lilivyokuwa na uwezo wa kuifadhi umeme kwa muda wa masaa saba mpaka kumi

Ofisa masoko wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania ambao ni wakala wa huuzaji wa bidhaa za LG BI, Grece Kavishe akitoa maelekezo jinsi jokofu hilo lilivyokuwa na uwezo wa kuifadhi umeme kwa muda wa masaa saba mpaka kumi pamoja na garanti ya miaka kumi

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania BW. Mayur Parikh akitoa maelezo ya jinsi ya jokofu za LG zinavyo ifadhi umeme kwa muda wa masaa kumi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...