Nairobi, Kenya
Shule
ya GEMS Cambridge International, ambayo imewekeza Dola million
thelathini (USD 30million), inatarajiwa kuwa kiongozi kwa taasisi ya
elimu hapa Africa Mashariki imefunguliwa rasmi wiki hii. Shule hii
inamilikiwa na kundeshwa na GEMS Education ambayo inayo mtandao wa shule
bora za kimataifa kote duniani.
Bw.Sunny
Varkey, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa GEMS Education alisema, "Hii ni
muda wa kusisimua kwa sababu kwa mara ya GEMS imeingia soko la Afrika
Mashariki. Mtandao wa shule za GEMS zinapatikana nchini ya Uingereza,
Americani, China, Jordan, UAE, Saudia Arabia na nchi ha India. Hapa
Afrika tumewakilisha shule ya GEM nchi ya Misri na ni furaha kubwa
kuzindua shule hii ya GEMs jijini wa Nairobi, Kenya. Tutaunganisha
rasilimali mbalimbali za elimu kutoka mtandao wetu wa kimataifa ya Gems
kuiboresha shule hii ya kimataifa Kenya kuwa shule bora sana hapa Kenya
na Afrika Mashariki, kwa sababu elimu bora huathari si mtoto kupokeaji
elimu tu, ila pia familia ya mtoto na jamii kwa jumla "
Mkuu
wa Shule ya Gems Cambridge International, Jill Roberts alisema,
"mitaala yetu inasisitiza umuhimu wa mtazamo wa kitaifa na kimataifa.
Katika dunia ya leo, tunahitaji kuangalia kwa siku zijazo na kuwaandaa
wanafunzi wetu kwa ajili ya maisha, uwezo wao kuwa huru, kuwajibika,
kujiamini na ushujaa. Mimi aaamini katika kuendeleza maadili na hisia ya
uadilifu na kiburi. Zaidi naamini katika kukuza, kujali, nidhamu na
mazingira ya furaha ya kusomea, matarajio na mafundisho ya juu, pamoja
na shughuli mbalimbali za ziada kwa mtaala, kusababisha ubora wa
kitaaluma na mtoto kutimia. Mimi nataka wanafunzi wetu sio tu, ila
wazidi uwezo wao!”.
Shule
ya GEMS itaataandaa wanafunzi kwa Cheti cha IGCSE (International
General Certificate of Secondary Education) Cheti cha AS (Advanced
Secondary) na Kimataifa Mkuu wa Elimu ya Sekondari (IGCSE), Zaidi ya
hayo shule itatoa Edexcel BTEC Level 2 na 3 katika sifa mbalimbali ya
masomo ya ufundi.
Shughuli
zote zinasisitiza maadili ya GEMS ambayo ni Uraia Duniani, Maadili ya
Dunia, Uongozi na maono ya mbele. Misingi wa maadili haya ni kuirmaisha
umuhimu shule yetu huweka katika maeneo ya mtazamo wa kimatiafa and
heshima kwa utamaduni mbalimbali na imepenyeza masuala yote ya maisha ya
kila siku ya hapa shuleni.
Shule
ya Gems, imetengeneza mabweni ya washichan and wavulana na katika
mwakwa huuwa kwanza wa uendeshaji, watapoke watoto kwa mabweni yao
kutoka Mwaka 3 – Mwaka 9.
Shule
hii imo katikaki wa jiji wa Nairobi, sehemu ya Karen, inayo kampasi ya
kuvutia na hutoa mziningira ya kuhochea ya kusomea. Sehemu mbalimbali za
shule zimeunganishwa na jengo la utawalam na hutoa viwango vya juu vya
usalama.
Vifaa vya shule ni: Sehumu ya 25m ya kuogelea, kiwanja ya 400m za mbio, kiwanja na nyavu vya kuchezea kriketi, viwanja mbalimbali vya michezo vya ndani na nje na ukumbi wa watoto wa miaka tofauti. Jengo la sayansi inavyo vifaa vikamilifu vya sayansi, maabara 5 vya kompyuta (ICT) inayopatikana katika maktaba za shule. Sehemu ya Middle School and Senior School zinazo maktaba yao binafsi.
No comments:
Post a Comment