Askari wa Jenshi la Polisi wakilazimika kufanya kazi ya wanahabari kwa kupiga picha
mabango
yaliyokuwa yamebebwa na wanahabari hao waliokuwa kwenye maandamano ya
kumlilia Mwandishi Mwenzao,Marehemu Daud Mwangosi aliefariki Mkoani
Iringa hivi Karibuni.
Wanahabari wa mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandamano.
Wanahabari wakiwa na mabango yenye jumbe mbali mbali.
Mwandishi
wa habari mkongwe,Nechi Lyimo aliyeketi kwenye pikipiki,jana
alilazimika kutoka hosptali alikokuwa akipatiwa matibabu na kuja
kuungana na wanahabari wenzake katika maandamano.
Wanahabari wakitoa matamkpo mbamlimbali.Picha na Dixon Busagaga.
No comments:
Post a Comment