Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 6, 2013

FRANCIS MIYEYUSHO AJIFUA KUJIANDAA KUMKALISHA MKENYA JUMAPILI


 Bondia Francis Miyeyusho (kushoto) akiwa katika mazoezi kwenye Gym ya Lazima Ukae, iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wake wa kirafiki na Bondia Shadrack  Muchanje kutoka nchini Kenya. Mabondia hao watapanda ulingoni kuonyeshana umwamba siku ya Tamasha la Matumaini litakalofanyika siku ya Jumapili ya Julai 7, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambalo litakuwa ni la raundi sita. Miyeyusho yeye amecheza mapambano 38 huku mpinzani wake, akiwa amecheza mapambano 14 hadi sasa.
 Panchi zikiendelea.....
 Miyeyusho akipozi......
Panchi zikiendela...Lazima akae siku hiyo.....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...