Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mama Lishe, katika Kituo cha Mabasi cha Amani
Mbagala Zakhiem, Koletha Jerome (kushoto) na Siwazuri Kimbachi, wakati
alipokuwa kwenye Ziara ya kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akitembelea kukagua
shughuli za usafi wa mazingira katika Kituo cha Mabasi cha Amani
Mbagala Zakhiem, alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Viongozi wa Kata ya Ukonga
kuhusu usafi wa mitaro ya maji machafu, wakati alipokuwa kwenye ziara
yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye Soko la vyakula la Buguruni, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Matango katika Soko la
Buguruni, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua
shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoka kutembelea Bwawa la maji machafu Buguruni wakati alipokuwa
kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es
Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia Mtaro wa maji machafu uliopo Mayfear Plaza Mikocheni wakati
alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa
wa Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na mmoja wa Wakazi wa Msasani baada ya kutembelea kuona Mitaro
ya maji machafu ya eneo hilo, wakati alipokuwa kwenye ziara yake
kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment