Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 10, 2013

GAPCO TANZANIA YATINGA MKOA WA SHINYANGA KWA AJILI YA PROMOSHENI YAKE

Wasaniii wa kundi la   JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil Maeneo ya mtaa wa uhindini Mkoa wa Shinyanga Picha na Mpiga picha Wetu
Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania Farida Hassan  kushoto akimkabizi mteja wa Gapco Relstar Oil , Stevin Mbuya zawadi zake pamoja na bidhaa alizonunua wakati wa promosheni yake iliyofanyika Mkoa wa Shinyanga Jana Picha na SUPER D

Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco Tanzania Eneo Stendi ya zamani ya mabasi ya mikoani Mkoa wa Shinyanga kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha na

www.burudan.blogspot.com
Msanii wa  JCB Dominion
Halima Masoud
akimpagawisha mmoja ya wakazi wa Shinyanga wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo laStendi ya Mabasi Zamani Mkoa wa Shinyanga   picha na BLOG YA SUPER D

Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania Valentine Hogohogo 'Macho Kodo' kulia akimkabizi mteja  Juma Omary Bidhaa aliyonunua ya  Gapco relstar wakati wa promosheni ya Kampini hiyo iliyofanyika Mkoa wa Shinyanga Jana
picha na BLOG YA SUPER D
Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania Farida Hassan  kushoto akimkabizi mteja wa Gapco Relstar Oil , Said Jumanne zawadi zake pamoja na bidhaa alizonunua wakati wa promosheni yake iliyofanyika Mkoa wa Shinyanga Jana Picha na SUPER D

Wasaniii wa kundi la   JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil Maeneo ya mtaa wa uhindini Mkoa wa Shinyanga Picha na Mpiga picha Wetu

Msanii wa  JCB Dominion
Halima Masoud
akimpagawisha mmoja ya wakazi wa Shinyanga wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo laStendi ya Mabasi Zamani Mkoa wa Shinyanga   picha na BLOG YA SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...