Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 20, 2013

NMB YAFADHILI SEMINA YA MAAFISA MAENDELEO WA VIJANA NCHINI


 Mhe. Dkt. Fenera Mukangara ambaye ni Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo  akiongea na maafisa maendeleo ya vijana nchini wakati wa uzinduzi wa semina ya siku mbili.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo  Bw. Seth Kamuhanda akifafanua  jambo wakati wa semina hiyo.
Meneja wa NMB Mikopo Midogo Midogo Bw. Mashaga Changarawe akielezea huduma mbali mbali   zitolewazo na Benki ya NMB zikiwemo akaunti pamoja na mikopo mbalimbali kwa wajasiliamaliMeneja Mawasiliano  wa NMB, Josephine Kulwa akizungumzia jinsi ambavyo Benki ya NMB kwa kupitia huduma zake kwa wajasiliamali inavyosaidia kuongeza ajira kwa vijana nchini
Erick Shigongo nae alitoa maada kuhusiana  mafanikio na kujitambua katika ajira.
Sehemu ya washiriki wa semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...