Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 8, 2013

JK katika Tamasha la Matumaini lililofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar Muziki wa Injili ulitawala. Hapa Solomon Mukubwa akitumbuiza.
 MC wa Tamasha la Matumaini Godwin Gondwe a.k.a Double G akiwa kazini.
 Bango lajieleza.
 Uzalendo kwanza.
 Nnape Nnauye akiwa na wadau.
 JK akitete jambo na Eric Shigongo, mwandaaji wa Tamasha la Matumaini.
 Wagunge wapenzi wa Simba wakipiga jalamba
 Profesa Maji Marefu akiongoza wabunge wapenzi wa Simba
 Wabunge wapenzi wa Simba
 Mwigulu Mchemba na skafu yake akiwa na  wabunge wapenzi wa Yanga
 Halima Mdee (kati mbele, bukta nyeusi) akiongoza kikosi cha wabunge wapenzi wa Yanga
 Kikosi kazi cha wabunge wapenzi wa Yanga
 Da' Asha Baraka akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo (BMT) Dionis Malinzi.
 Mwandaaji wa Tamasha la Matumaini akisema machache.
 Millard Ayo wa Clouds FM akirusha vitu live.
 Wapiganaji wakila mzigo.
 Wapiganaji kazini.
 Wapiganaji wakishuhudia.
 Wapiganaji wakirekodi matukio
 JK akifungua rasmi Tamasha la Matumaini.
 JK akiwaasa Watanzania wasidanganyike na watu wanaotaka kuwatenganisha.
 Hatudanganyiki....
 JK akilisifia Tamasha la Matumaini kuwa ni moja ya majibu ya wanaotaka kutenganisha Watanzania kwa misingi ya kikabila ama kidini.
 JK akijiandaa kupiga filimbi kuanzisha mechi ya wabunge wpenzi wa Yanga na Simba.
 JK akiwa refarii akihesabu wachezaji kabla ya kuanzisha mechi.
 JK akiaga baada ya kuanzisha mpambano huo.
 JK akikaribishwa na mwandaaji Eric Shigongo. Kati ni Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara.
 JK akiingia uwanja wa Taifa akiongozana na Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Eric Shigongo.
 JK akiwa meza kuu.
 Meza kuu.
 Mwandaaji wa tamasha Eric Shigongo akiongea machache.
 JK akimpongeza Eric Shigongo kwa hotuba nzuri.
 Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akimkaribisha JK kutoa hotuba yake.
 Tamasha la Matumani Oye!
 JK akiongea na kadamnasi kwenye tamasha hilo katika hotuba iliyorushwa moja kwa moja na TBC.
 TUSIDANGANYIKE...
 JK akiongea na kadamnasi.
 "Tamasha hili ni majibu kwa wanaotutakia mabaya Tanzania...."
 JK akiongea na kadamnasi.
 JK akisalimiana na wachezaji wa Bongo Movie.
 JK akipeana mikono na kipa wa zamani  Yanga na Taifa Stars Peter Manyika ambaye sasa ni msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie.
 Jk akisalimiana na Bongo Movie Stars.
 JK akisalimiana na Katibu Mkuu wa FAT mstaafu Mwina Kaduguda.
 JK akisalimiana na kipa (wa kweli)  wa Yanga Barthez.
 JK akiingia uwanjani.
 Kikosi cha wabunge wapenzi wa Simba.
 Waamuzi na wabunge wapenzi wa Yanga.
 JK akilakiwa na refa Othman Kazi.
 JK akiweka saini katika mpira utaochezewa.
JK akiweka saini.
 JK akitambulishwa waamuzi.
 JK akikagua wabunge wapenzi wa Yanga.
 JK akisalimiana na straika mkali wa Yanga kutoka DRC.
 Hiki kifriji vipi.....
 JK akisalimiana na wabunge wa Yanga. Huyu ni Esther Bulaya.
 JK akisalimiana na mwenyekiti wa kamati ya ufundi wa Yanga.
JK akisalimiana na kiongozi-mchezaji wa Yanga.
 JK akisalimiana na mshambuliaji hatari wa yanga Halima Mdee.
 JK akisalimiana na nahodha wa Simba Amos Makala.
 JK akisalimiana na Simba.
 JK akisalimiana na mchezaji wa kulipwa wa wabunge toka Nzega, Dkt Hamisi Kigwangalla.
 JK akisalimiana na Profesa Maji Marefu.
 JK akisalimiana na wachezaji wabunge wa Simba.
 JK akisalimiana na mshambukliaji hatari wa Simba William Ngeleja.
 JK akiendelea kusalimia wabunge wana Simba.
 JK akisalimiana na beki tatu wa wabunge wa Simba Joshua Nassari.
 Haya waheshimiwa... mchezo mwema...
 Nyimbo ya Taifa ikipigwa, kila mtu mguu sawa.
 Wimbo wa Taifa 
 JK akipungia umati unaomshangilia kwa nguvu
 JK akipena mkono na mashabiki.
 JK akiteta jambo na JB huku Dkt Cheni akiwa pembeni.
 Mashabiki wakiwa nje ya uwanja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...