Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 8, 2013

GAPCO TANZANIA YATIKISA MWANZA NA PROMOSHENI YAKE


kundi la   JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Relstar Oil Maeneo ya Mkuyuni Mkoa wa mwanza Picha na Mpiga picha Wetu

Msanii wa  JCB Dominion
Halima Masoud
akimpagawisha moja ya mashabiki waliojitokeza wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo Nyegezi Mkoa wa Mwanza picha na BLOG YA SUPER D
Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco TANZANIA Eneo Nyegezi Mkoa wa Mwanza kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha na
www.burudan.blogspot.com

Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco TANZANIA Eneo Nyegezi Mkoa wa Mwanza kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha na

www.burudan.blogspot.com

Msanii wa  JCB Dominion
Halima Masoud
akimpagawisha  Mohamedi Yusufu moja ya mashabiki waliojitokeza wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo Nyegezi Mkoa wa Mwanza picha na BLOG YA SUPER D

Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania Limited
Halima Masoud kulia akimkabizi katoni ya Gapco Relstar Oil wakati wa promosheni ya bizaa hiyo iliyofanyika Mkoa wa mwanza picha na SUPER D
Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania LTD Lightnes Samwel kushoto akimkabidhi lita tano za Oil pamoja na zawadi kwa mteja Herman Jems  alienunua bizaa ya Gapco Rels star Oil wakati wa Promosheni inayoendelea eneo la barabara ya Pamba Mkoa wa Mwanza Leo  picha na BLOG YA SUPER D

Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania LTD Lightnes Samwel kushoto akimkabidhi lita tano za Oil pamoja na zawadi kwa mteja Ebeneza Makundi alienunua bizaa ya Gapco Rels star Oil wakati wa Promosheni inayoendelea eneo la barabara ya Pamba Mkoa wa Mwanza Leo  picha na BLOG YA SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...