Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 10, 2013

WABUNGE WA EAC WATEMBELEA UKUMBI MPYA WA BUNGE LA EALASpika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margareth Zziwa, akiwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, walipotembelea ukumbi mpya wa Bunge la EALA uliopo kwenye jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania, tayari kwa kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza tarehe 18/08/2013. 2. Spika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi - EALA pamoja na Wabunge wanaounda Kamati ya Uongozi, wakionyesha nyuso za furaha walipokuwa katika ziara ya kutembelea ukumbi mpya wa bunge hilo Jijini Arusha. (Picha na Mukhtar Abdul wa EAC)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...