Meneja Muajiri wa kampuni ya usafi
katika manispaa ya Ilala ya Green Waste Pro Ltd. Bi. Vidah Joseph
(katikati) pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo na wanafunzi na walimu
wakifanya usafi katika mazingira ya shule ya msingi Bunge ikiwa ni
sehemu ya ratiba wanazozifanya kila mwaka za utaratibu wa kuweka
mazingira ya manispaa ya Ilala katika hali ya usafi ikizingatiwa ni
katika kati ya jiji la Dar es Salaam.
Mkusanyaji wa Mapato wa kampuni hiyo
Bw. Almachlus Rwakatale akikabidhi jumla ya ndoo 16 za rangi kwa Mkuu wa
mazingira katika Shule ya Msingi ya Bunge ya jijini Dar es Salaam Mwl.
Frida Madanganya. Meneja Muajiri wa kampuni ya usafi katika manispaa ya
Ilala ya Green Waste Pro Ltd. Bi. Vidah Joseph.
Meneja Muajiri wa kampuni ya usafi katika manispaa ya Ilala ya Green Waste Pro Ltd. Bi. Vidah Joseph na Mkusanyaji
wa Mapato wa kampuni hiyo Bw. Almachlus Rwakatale wakishirikiana na
uongozi wa shule ya msingi Bunge katika zoezi la upandaji miti kwenye
maeneo mbalimbali yanayoizunguka shule hiyo.
Meneja Muajiri wa kampuni ya usafi katika manispaa ya Ilala ya Green Waste Pro Ltd. Bi. Vidah Joseph na Mkuu
wa mazingira katika Shule ya Msingi ya Bunge ya jijini Dar es Salaam
Mwl. Frida Madanganya wakishirikiana kumwagilia maji moja ya miti
waliyopanda katika shule hiyo kuhamasisha utunzaji wa mazingira.
Zoezi la usafi likiendelea kwa kushirikiana na Walimu pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.
Meneja Muajiri wa kampuni ya usafi
katika manispaa ya Ilala ya Green Waste Pro Ltd. Bi. Vidah Joseph
akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na ratiba wanazozifanya
kila mwaka za utaratibu wa kuweka mazingira ya manispaa ya Ilala katika
hali ya usafi ikizingatiwa ni katikati ya jiji la Dar es Salaam na
safari hii wametoa ndoo 16 za rangi katika Shule msingi Bunge.
No comments:
Post a Comment