Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 7, 2013

WAISLAMU WAADHIMISHA YA SIKU YA SALAFIA DAR


Sheik Abubakari Zuberi, Naibu katibu Mkuu wa Tanzania Bara akifafanua jambo kuusu mafunzo ya dini ya kiislamu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Salafia iliyofanyika Bunju jijini Dar es Salaam. Kulia ni Sheikh Yusuf Hussein.
 Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakiandamana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Salafia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...