Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 10, 2013

GAPCO TANZANIA YAINGIA KAHAMA NA PROMOSHENI YAKE


Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania Farida Hassan  kushoto akimkabizi mteja wa Gapco Relstar Oil , Mandera Kembo zawadi zake pamoja na bidhaa alizonunua wakati wa promosheni yake iliyofanyikaWilaya ya Kahama Jana Picha na SUPER D


Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco Tanzania Phantom Kahama kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha na

www.burudan.blogspot.com
Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania Farida Hassan  kulia akimkabizi mteja wa Gapco Relstar Oil , Thimos Guli zawadi zake pamoja na bidhaa alizonunua wakati wa promosheni yake iliyofanyikaWilaya ya Kahama Jana Picha na SUPER D

Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania Farida Hassan  kushoto akimkabizi mteja wa Gapco Relstar Oil , Samweli Elishi zawadi zake pamoja na bidhaa alizonunua wakati wa promosheni yake iliyofanyika Maeneo ya LuhamboWilaya ya Kahama Jana Picha na SUPER D

Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania LTD Lightnes Samwel kushoto akimkabi mzigo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...