Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya Watanzani ya waishio mjini Abuja, wakati
alipokutana nao katika Makazi ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Nigeria,
jana Julai 16, 2013 na kufanya nao mazungumzo. Makamu ameondoka leo
mjini Abuja kurejea nchini Tanzania, baada ya kuhudhuria Mkutano wa 12
wa siku mbili wa Afrika uliokuwa ukijadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua
Kikuu na Malaria (Abuja +12) uliofunguliwa na Rais wa Nigeria Dkt.
Goodluck Jonathan, Julai 15-16, 2013 mjini Abuja Nigeria na kuhudhuriwa
na Viongozi mbalimbali wa Nchi za Afrika. Kushoto kwake ni mkewe, Mama
Asha Bilal.
Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, aliyemaliza muda wake, Siwajibu
Baraka Siwajibu, akiwatambulisha baadhi ya Watanzania kwa makamu wa
Rais, wakati alipofika kuzungumza nao katika Makazi ya Balozi wa
Tanzania, Abuja Nigeria jana Julai 16, 2013. Kushoto ni Mke wa Makamu wa
Rais, Mama Asha Bilal, na kutoka (Kulia) ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt.
Seif Rashid, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Mahadhi Juma Mahadhi na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Fatma
Rajabu.
Baadhi ya watanzania waishio Abuja, wakimsikiliza Makamu, Dkt. Bilal, (hayupo pichani) wakati akizungumza nao.
Baadhi ya watanzania waishio Abuja, wakimsikiliza Makamu, Dkt. Bilal, (hayupo pichani) wakati akizungumza nao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
mkewe Mama Asha Bilal, Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Fatma
Rajabu na Kaimu Balozi wa Tanzania, nchini Nigeria, aliyemaliza muda
wake, Siwajibu Baraka Siwajibu, wakiwa katika picha ya pamoja ya
kumbukumbu na baadhi ya watanzania waishio Abuja, baada ya makamu
kufanya nao mazungumzo jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
mkewe Mama Asha Bilal, Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Fatma
Rajabu, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya
watanzania waishio Abuja, baada ya makamu kufanya nao mazungumzo jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na
baadhi ya watanzania waishio Abuja, baada ya makamu kufanya nao
mazungumzo jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mzee,Salu Salatu, ambaye ni raia wa Nigeria aliyefanya
kazi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria kwa muda wa Miaka 25 hadi
sasa, baada ya Makamu kuzungumza na Watanzania waishio Abuja jana Julai
16, 2013. Makamu ameondoka leo mjini Abuja kurejea Tanzania baada ya
kuhudhuria Mkutano wa 12 wa siku mbili wa Afrika uliokuwa ukijadili
magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Abuja +12) uliofunguliwa na
Rais wa Nigeria Dkt. Goodluck Jonathan, Julai 15-16, 2013 mjini Abuja
Nigeria na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Nchi za Afrika.
No comments:
Post a Comment