Wachezaji
wa Yanga
wakishangilia bao la kuzawazisha dhidhi ya URA ya Uganda, lililofungwa
na Jerson Tegete katika dakika ya 90 ya mchezo na kufanya matokeo kuwa
2-2. Mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki
umefanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa
Yanga, Ibrahim Job na Rajabu Zahir katika mchezo wa kimataifa wa
kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akimiliki
mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Yanga, Jerson Tegete katika mchezo wa
kimataiafa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
Wachezaji wa URA wakishangilia bao la pili la timu hiyo.
Heka heka.
No comments:
Post a Comment