Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 6, 2013

GAPCO TANZANIA YATIKA NA PROMOSHENI YAKE KARATU


Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania  Limited Bi, Farida  Masanja akimkabidhi Paul Panga  madumu ya lita 5 alizonunua pamboja na zawadi mbalimbali wajkati wa Promosheni ya Gapco relstar Oil iliyofanyika jana Karatu Mkoa wa Arusha
Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco TANZANIA Eneo Karatu Mkoa wa Arusha kutoka kushoto ni Omar Salimu  na Jafari Halawi picha na

Mwakilishi wa kampuni ya  Gapco Tanzania LTD ,Omar Salimu akimkabizi Julius Petro Gapco Relstar Oil pamoja na zawadi wakati wa promosheni ya kampuni hiyo inayoendelea nchi nzima
Msanii wa  JCB Dominion akitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Karatu mkoa wa Arusha  Halima Masoud  picha na BLOG YA SUPER D

Msanii wa  JCB Dominion akitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Karatu mkoa wa Arusha  Halima Masoud  picha na BLOG YA SUPER D

Mashabiki wakiendelea kupata burudani toka kwa Msanii wa  JCB Dominion akitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Karatu mkoa wa Arusha  Halima Masoud  picha na BLOG YA SUPER D

Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco TANZANIA Eneo Karatu Mkoa wa Arusha kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha na
www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...